+1 (813) 322 5178 Local
+1 (833) 599 7272 Toll Free
+1 (813) 743 3273 Whats App
Providing Professional Live Online Tutoring for $5 an Hour to Children to Adults, Worldwide.
Sospeter Aloka
Braille, History of Africa, Kiswahili, Luo Languages
ENGLISH
I am Sospeter Aloka,A native Luo speaker from Kenya.Dholuo is widely spoken among the Luo tribe in Kenya.I also speak and learnt Kiswahili language beside being a Kenyan national Language.I love reading History since it shapes our future, this made me to pursue it as a minor subject at my undergraduate level.The uniqueness of each and every learners needs and potentials made me to pursue Speacial needs education both at undergraduate and masters level.I have been an educator since the year 2013.
KIJALUO
Nyinga en Sospeter Aloka, an jaluo mongirore mawuok Kenya. Dholuo en dhok ma iwacho alanda kuom oganda mag Luo ma Kenya. Awacho kendo ne asomo dho Swahili ma en bende dhok ma iwacho Kenya mangima. Ahero somo somo mag weche machon nikech oloso weche manyime. Kuom mano, ne adhi atimo somo mag weche machon kaka somo matin e mbalariany. Pogruok e dwach nyithi sikul kod mich maggi mopogore opogore ne omiyo atimo somo mar puonjo nyithindo manigi ng'ol ma opogore opogore e mbalariany. Ban'ge ne adok amedora e somono e ngadho ma Malo. Asebedo japuonj chakre higa 2013.
KISWAHILI
Jina langu ni Sospeter Aloka,mjaluo halisi kutoka Kenya. Kijaluo kinanenwa Kwa kina miongoni mwa wajaluo nchini Kenya.Mimi nami ninanena Kiswahili na nilisoma Kiswahili kando ya kuwa lugha ya taifa nchini Kenya. Nina henzi kusoma historia kwani inanitayarishia maisha ya usoni. Jambo hili lilinifanya nisomee historia kiwango cha chini ya masomo ya shahada. Utofautiano wa Kila mwanafunzi na mahitaji mbali mbali ya wanafunzi na jitihada zangu, zilinifanya nisomee masomo ya watu walio na ulemavu Kwa kiwango cha shahada ya kwanza na ya pili. Nimekuwa mwalimu tangu mwaka wa 2013